Unda tangazo
Ili kuchapisha tangazo jipya tafadhali Ingia au kujiasajili
Sheria na mahitaji ya tangazo
Kabla ya kuunda tangazo tafadhali soma kupitia Masharti ya Huduma yetu na viongozi
- Kila biashara iliyokamilika inagharimu watangazaji 1% ya jumla ya kiasi cha biashara (ada ya ulinzi wa usuluhishi).
- Ni lazima uwe na angalau 0.35 XMR kwenye mkoba wako wa dhamana ya usuluhishi ya LocalMonero ili tangazo lililochapishwa la XMR la kuuza lionekane.
- Kila mtumiaji anaruhusiwa kuunda hadi matangazo ya 800.
- Mara baada ya biashara kufunguliwa bei ni ya mwisho, isipokuwa wakati kuna makosa ya wazi katika bei.
- Huruhusiwi kununua au kuuza Monero kwa niaba ya mtu mwingine (udalali).
- Unaweza kutumia tu akaunti za malipo ambazo zimesajiliwa kwa jina lako mwenyewe (hakuna malipo ya wahusika wengine!).
- Ni lazima utoe maelezo yako ya malipo kwenye tangazo au kwenye gumzo la biashara.
- Mawasiliano yote lazima yafanyike kwenye LocalMonero.
Nataka...
Ni aina gani ya tangazo la biashara ungependa kuunda? Ikiwa ungependa kuuza Monero, hakikisha kuwa una Monero kwenye mkoba wako wa dhamana ya usuluhishi ya LocalMonero.